TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

Wabongo ni wanafiki sana, huyu Mwabukusi mlimsifia sana humu na kumuimba kwa sifa na mapambio kisa tu alikuwa akionekana kuwa upande wa upinzani sasa mnaanza kulialia tena
 
Naunga mkono hoja
P
 
Jamaa wewe ni mjinga sana. Huwezilazimisha mazingira ya kijinga uyalete Tanzania. Nenda huko kenya unakosema kuna law bar association yenye msimamo kama wameweza kuondoa ukabila na rushwa. Usiwe mjinga mjinga wa kudhani kila kitu ni harakati. Law bar yetu watanzania lazima ishirikiane na serikali maana tukiwa maadui na serikali itasaidia nini???? Serikali na tls wote tunafanya kazi kwa lengo la kuiletea nchi yetu maendeleo, leo eti mnataka tuanze kuitukana serikali, jinga kabisa wewe.
 
Wewe Chawa huna unacho jua,
 
Wabongo ni wanafiki sana, huyu Mwabukusi mlimsifia sana humu na kumuimba kwa sifa na mapambio kisa tu alikuwa akionekana kuwa upande wa upinzani sasa mnaanza kulialia tena

Sijawahi msifia Mwambukusi,
 
Hii dhariri Mwambu amelambambishwa asali
 
Kabaki na kazi moja tu anayoiweza, kumpigia mayoe Dr Slaa mitandaoni, mahakamani mweupe kabisa
Kwenye mahakama zipi, hizi hizi zenye kesi ya kina Mdee mwaka wa nne huu.
 
Tanzania yote ni nchi ya lia lia hayo makundi yana reflect jamii nzima ya Watanzania,hivyo unacho kiona kwenye TLS ndo uhalisia wa maisha ya nchi hii.
 
Na Rais wake ndo alijipambanua kuleta uhuru wa TLS kwakisema wanachama wanatosha sana kuiendesha TLS na si serikali Leo wanarudi kule kule!! Nimegundua wanasheria wa Tanzania wana thinking ya Kitoto sana ndo maana wana mihemko ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…