TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam

Nafikiri bado haujaielewa mantiki ya Hoja yangu, ukweli ni kwamba, utendaji wa kazi za kijeshi upo katika mifumo ya amri kutoka juu kwenda chini, and not otherwise.

Nikuulize swali, Unafikiri zile maiti zilizokuwa zikiokotwa zikiwa kwenye viroba unadhani watekelezaji wa vitendo viovu kama vile walijiamulia wao wenyewe binafsi bila kupata baraka kutoka kwa wakubwa zao?? Unafikiri wangebaki salama kama vitendo hivyo walifanya bila kupata idhini kutoka kwa wakubwa zao??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…