Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaNa WAHASIWE!
Mke wa huyo mwanaume afungwe hata miaka 20 akitoka anakuta mumewe kaoa mke mwingine na ikiwezekana amkute waliyemtenda ndio kaolewa na mume wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaNa WAHASIWE!
Mke wa huyo mwanaume afungwe hata miaka 20 akitoka anakuta mumewe kaoa mke mwingine na ikiwezekana amkute waliyemtenda ndio kaolewa na mume wake.
NchekOya nitumie basi inbox, nakuomba sana kaka tafadhali
Hao wahalifu wakipelekwa mahakamani, Kibatala lazima atakwenda kuwatetea,kuna mawakili wengine wao wanaangalia mshiko tu hata huruma hawana,yaani wao wanajisikia rahaa kutetea wahalifu huko mahakamani kisa pesa!!Lawyers wakiamka na kuanza kufuatilia ukiukwaji wa sheria na kutaka wahusika kuchukuliwa hatua, then tutabadilika. Lakini inatia kichefucefu unaposikia wakili msomi ndio anaungana na wapigaji kuhalalisha uvunjifu wa sheria? Inadhalilisha mno fani.
Kwa hili la huyu binti, naunga mkono hoja
Katika hili unamsingizia bhana😂😂Hao wahalifu wakipelekwa mahakamani, Kibatala lazima atakwenda kuwatetea,kuna mawakili wengine wao wanaangalia mshiko tu hata huruma hawana,yaani wao wanajisikia rahaa kutetea wahalifu huko mahakamani kisa pesa!!
Tanzania hatujafikia huko,lazima tulaani hata kama ni video ya hiari hayo sio maadili yetuMie niko tofauti kidogo.
Kwani huyu binti kasema nini mpaka saizi?
Jamaa waliokamatwa je wao wamesema vipi?
Hili jambo linahitaji utulivu, watu wanalipapatikia kihisia sana na hili ndio tatizo la kulelewa na singo mama, wana judge mambo kwa feelings kuliko kufikiri hata kidogo.
Vipi kama ikija kujulikana wote kwa pamoja(majamaa na mdada)waliamua kurekodi video kwa hiyari yao, ila wakaamua kuigiza kama binti anashurutishwa??? Labda kwa lengo fulani kama kutafuta Kiki???
Siungi mkono matendo ya namna hiyo lakini tusubiri kidogo uchunguzi ndio tuongee.
Watu wamelipokea hili tukio kwa hisia sana(singo mama product) hivyo kila mtu anatoa matamko tu kana kwamba imethibitika ni ukweli.
Mara ngapi tunaonaga video za x unakuta mwanamke anashurutishwa kweli kweli lakini mwisho wa siku unaona ni maigizo tu.
Duuh hii ndo JF nayoijuaa mie. Waanze na huyuKwa mujibu wa BuyoyeView attachment 3062227
Ila TZ kuna unafikii had shetani anashangaa, mtu mwenye dhamana ya ulinzi kwa raia, ndo anaharibu usalama wa raia.
Ugreat sinker ukizidi bna.Mie niko tofauti kidogo.
Kwani huyu binti kasema nini mpaka saizi?
Jamaa waliokamatwa je wao wamesema vipi?
Hili jambo linahitaji utulivu, watu wanalipapatikia kihisia sana na hili ndio tatizo la kulelewa na singo mama, wana judge mambo kwa feelings kuliko kufikiri hata kidogo.
Vipi kama ikija kujulikana wote kwa pamoja(majamaa na mdada)waliamua kurekodi video kwa hiyari yao, ila wakaamua kuigiza kama binti anashurutishwa??? Labda kwa lengo fulani kama kutafuta Kiki???
Siungi mkono matendo ya namna hiyo lakini tusubiri kidogo uchunguzi ndio tuongee.
Watu wamelipokea hili tukio kwa hisia sana(singo mama product) hivyo kila mtu anatoa matamko tu kana kwamba imethibitika ni ukweli.
Mara ngapi tunaonaga video za x unakuta mwanamke anashurutishwa kweli kweli lakini mwisho wa siku unaona ni maigizo tu.
Mpaka Sasa bado awajakamatwa?Kama ni wajeshi, aibu naona mimi
Ajabu sana ..Mpaka Sasa bado awajakamatwa?
Swali kwako, wewe umethibitisha vipi kwamba binti amelazimishwa?Ugreat sinker ukizidi bna.
Sio kila jambo lazima uwe tofauti na wengi ndo uonekane umewaza nje ya box.
Video umeiona??
Sheria inasemaje kuhusu ngono za namna ile??
Kwa hali ilivyo pale ni sahihi hao vijana wa JW kufanya walichofanya??
Hata ikiwa ni maigizo still bado sio sahihi, hukumu za watu unazoziita za kihisia bado ziko sahihi vijana ni wa hovyo.
Ndio maana nikakuuliza video umeiona??Swali kwako, wewe umethibitisha vipi kwamba binti amelazimishwa?
Vipi kwa mfano mahakama ikaja kusema labda hakubakwa, yalikua makubaliano yao wenyewe, (sisemi kwamba hawatahukumiwa kwa makosa mengine mf kujirekodi), ila kosa mama linalowafanya mshipaze shingo. Ikaonekana jamaa hawana hatia itakuaje?
Kwa hiyo kuliko kupiga makelele ni bora tukae kimya tuvipe muda vyombo vyetu vya usalama vichunguze, halafu majibu yakija ndio tuchague kushupaza shingo au
Ndio kalazishwa na ndioo maana mwisho wakamwambia aombe msamaha Kwa mwenye mume wake aliyetembea nae.Swali kwako, wewe umethibitisha vipi kwamba binti amelazimishwa?
Vipi kwa mfano mahakama ikaja kusema labda hakubakwa, yalikua makubaliano yao wenyewe, (sisemi kwamba hawatahukumiwa kwa makosa mengine mf kujirekodi), ila kosa mama linalowafanya mshipaze shingo. Ikaonekana jamaa hawana hatia itakuaje?
Kwa hiyo kuliko kupiga makelele ni bora tukae kimya tuvipe muda vyombo vyetu vya usalama vichunguze, halafu majibu yakija ndio tuchague kushupaza shingo au
Na ndio nilikua naandika kile ninachoona ni sahihi kwangu.Ndio maana nikakuuliza video umeiona??
Yaani hata kutoa maoni yangu kwa kile nilichoona unaona sio sawa, kwanini??
Maoni yetu hapa jf hayatumiki kama ushahidi mahakamani, wewe andika kile umeona, umehisi au kile unaona ni sahihi kwako, hukatazwi na mtu yeyote ndgu na wala sio tatizo.