Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Au unasemaje ni mwendo wa kula hela za vikao mpaka 2027
Au unasemaje ni mwendo wa kula hela za vikao mpaka 2027
ok.Hii inaitwa aibu utaona ww. Walisema mwisho wa September na mwanzoni mwa October. Hadi sasa utabiri hola. Mvua itanyesha, ila sio kama utabiri wa hao matapeli walivyotaka tuamini.

ok.Au unasemaje ni mwendo wa kula hela za vikao mpaka 2027

Hii inaitwa aibu utaona ww. Walisema mwisho wa September na mwanzoni mwa October. Hadi sasa utabiri hola. Mvua itanyesha, ila sio kama utabiri wa hao matapeli walivyotaka tuamini.
Wasafishe mitaro kwani kuna hiyo mvua? Matapeli wametengeneza taharuki ili wapige hela.Nilitegemea hizo pesa zitumike kusafisha mitaro kwanza
InafikirishaWasafishe mitaro kwani kuna hiyo mvua? Matapeli wametengeneza taharuki ili wapige hela.
Walisema kutoka tarehe 01 October 2026 siku 10 baadaye itanyesha bonge la mvua. Wakatuambia tuweke nafaka ndani maana hatutaweza kufika Kariakoo. Ila Mungu amewaaibisha.Hii inaitwa aibu utaona ww. Walisema mwisho wa September na mwanzoni mwa October. Hadi sasa utabiri hola. Mvua itanyesha, ila sio kama utabiri wa hao matapeli walivyotaka tuamini.
mkuu fatilia mitaro iliyochimbwa utacheka sana !😀😀😀sehemu inayopita maji mengi mtaro wake ni kama futi tanoNilitegemea hizo pesa zitumike kusafisha mitaro kwanza
Mboni haijaanza?amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027,
Hujayaona mawingu, walisema kutakuwa na mawingu na ngurumo za hapa na pale radi za kuchovya na jua kwa mbaaali.🤭🤭🤭Huku nilipo bado ni bila bila
Naliona tu Jua linachoma kama pasiHujayaona mawingu, walisema kutakuwa na mawingu na ngurumo za hapa na pale radi za kuchovya na jua kwa mbaaali.🤭🤭🤭
Hiyo ni moja ya dalili walisema kama sio mvua elnino inaweza kuwa ya joto kali.Naliona tu Jua linachoma kama pasi
Bila kusahau upepo wa kutishaHiyo ni moja ya dalili walisema kama sio mvua elnino inaweza kuwa ya joto kali.
Kwahiyo kamanda ata la kusafisha mitaro tulipinge?Wasafishe mitaro kwani kuna hiyo mvua? Matapeli wametengeneza taharuki ili wapige hela.
Umeangalia muktadha wa niliyemjibu?Kwahiyo kamanda ata la kusafisha mitaro tulipinge?
Kazi kwelikweli 🤣Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎
=============
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027, huku akiwataka Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza pamoja na kumuomba Mwenyezi Mungu ailinde Tanzania.
Akizungumza na AyoTV, Dkt. Chang’a amesema hali hiyo inaendelea kuimarika na kuelekea katika hatua ya kukomaa, jambo linaloweza kusababisha athari mbalimbali zinazohusiana na hali ya hewa.
Amesisitiza kuwa Mamlaka inaendelea kushirikiana na Wataalamu wa Sekta mbalimbali pamoja na viongozi wa Serikali katika kuhakikisha Wananchi wanapata taarifa na maelekezo sahihi ya kujikinga na madhara yanayoweza kujitokeza.
View attachment 3689459
El niño si ndo AFCON au hamjasoma CUBAHahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎