Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Mbeya waliambiwa wasafishe mitaro ili hizo mvua zikija mitaro isizipe. Sasa leo tunaambiwa ni joto, dadeki
Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Mkuu kwani umeandika uharo gani hapo?? Uharo wa kula viporo vya maziwa yaliyochacha au maharage yaliyo chacha🚮Meadi gani umesima wa chadema. Miradi gani mama haja.aloza. nyie mmebako mnaomoteza tu. Tafurni siada nzuri. Mabarabara yanachobgwa nchi nzima huyaoni? Mwanzo mlisema miradi aliyoanza jpm bila mipango mama hataimaliza sasa yite ka.aliza. Mnaokoteza okoteza cha kuongea. I wish mama aongoze nchi hii 40 years mana uwezo wake ni .mkubwa mno. Kanisa katoliki limejitahidi kumchafua kisa kapanua na kubooresha huduma za afya na kuajiri walimu kila kona na kuona Bugando yao na mashule yao yanaenda kufa