TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.

Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.

Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu

Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027

TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.

MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 730 za kupambana na mvua kubwa za El nino. Walidai ni za kukarabati madaraja na kuzibua mifereji na zimeshaisha bila kufanyika chochote labda marekebisho madogo Madaraja ya Tanga.

Watu wamebomolewa nyumba zao kwamba nyumba zimeziba njia ya maji ya mvua za El - nino.

Kuna siku nilimuuliza mama, kwamba alijipangaje na el nino, maana yeye ni mkulima mfanyabiashara, akasema hakuna el nino ni utapeli tu.

Sijui alijuaje
 
Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.

Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.

Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu

Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027

TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.

MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 730 za kupambana na mvua kubwa za El nino. Walidai ni za kukarabati madaraja na kuzibua mifereji na zimeshaisha bila kufanyika chochote labda marekebisho madogo Madaraja ya Tanga.

Watu wamebomolewa nyumba zao kwamba nyumba zimeziba njia ya maji ya mvua za El - nino.

Meadi gani umesima wa chadema. Miradi gani mama haja.aloza. nyie mmebako mnaomoteza tu. Tafurni siada nzuri. Mabarabara yanachobgwa nchi nzima huyaoni? Mwanzo mlisema miradi aliyoanza jpm bila mipango mama hataimaliza sasa yite ka.aliza. Mnaokoteza okoteza cha kuongea. I wish mama aongoze nchi hii 40 years mana uwezo wake ni .mkubwa mno. Kanisa katoliki limejitahidi kumchafua kisa kapanua na kubooresha huduma za afya na kuajiri walimu kila kona na kuona Bugando yao na mashule yao yanaenda kufa
 
El nino is not Gospel truth,El nino is a probability / uwezekano wa kupata mvua kubwa teketezi.
 
Meadi gani umesima wa chadema. Miradi gani mama haja.aloza. nyie mmebako mnaomoteza tu. Tafurni siada nzuri. Mabarabara yanachobgwa nchi nzima huyaoni? Mwanzo mlisema miradi aliyoanza jpm bila mipango mama hataimaliza sasa yite ka.aliza. Mnaokoteza okoteza cha kuongea. I wish mama aongoze nchi hii 40 years mana uwezo wake ni .mkubwa mno. Kanisa katoliki limejitahidi kumchafua kisa kapanua na kubooresha huduma za afya na kuajiri walimu kila kona na kuona Bugando yao na mashule yao yanaenda kufa
Mbona hueleweki? Lugha gani hii? Lala kwanza utaandika kesho
 
NCHI INAONGOZWA NA MUSLIM BROTHER SHIT NA MUSLIM MOTHER SHIT MNATEGEMEA NINI .... HAKUNA KUPEPESA MACHO ..NI UPUMBAVU KURUHUSU WAISLAMU KUONGOZA NCHI ..HAYA NDIYO MATUNDA YAKE ...KAMWE MTU AWEZI KUWA MUISLAMU NA AKAWA NI MZALENDO...SIKU ZOTE UISLAMU UNAPINGANA NA UZALENDO...NDIYO MAANA MUISLAMU AWEZI KUSEMA MTANZANIA MWENZETU BALI ANASEMA MUISLAMU MWENZETU..
Hayo maneno yangeandikwa vice versa jf ingelipuka

Jaribu kupunguza udini mkuu ccm watakuua kwa sonona
 
Tahilatahila njoo ujibu maswali. Kama Elninyo ni joto kwanini Mitihani ifanyike mapema. Kwanini mitalo izibuliwe.kwanini serikali itenge bajeti ya 700B .Inamaana hiyo Pesa ilitengwa ilikukabiliana na joto
 
Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.

Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.

Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu

Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027

TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.

MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 730 za kupambana na mvua kubwa za El nino. Walidai ni za kukarabati madaraja na kuzibua mifereji na zimeshaisha bila kufanyika chochote labda marekebisho madogo Madaraja ya Tanga.

Watu wamebomolewa nyumba zao kwamba nyumba zimeziba njia ya maji ya mvua za El - nino.

Mpaka ratiba za mashule zimebadilishwa ili kuepusha wanafunzi na madhara ya mvua za El Nino.
Kwa kweli ni super confusion.
 
Nchi hiî tumegeuzwa kuwa wajinga,hatuna akili ni mazombi na hatujui lugha.el nino ni badiliko la hali ya hewa na si mvua nyingi.tanganyika amka tunalizwa na wajinga.
Bilioni 800 zirudishwe,
 
Hapa bro umeganya 2+2=7. Ni wapi wamesema CCM iko Pacific? Ni wapi wamesema CCM huleta mvua? Ni EU mabwana za wahaini wetu wasalitu ndiyo wanaeneza habaru za mvua na ebola na tumehuru ili kujijengea uhalali.
 
Haya mambo yanahitaji Imani.Wanachofanya TMA ni kupiga Ramli hivyo na nyie wananchi inabidi muwe na Imani vinginevyo ndio kama hivi, mmekosa imani na el nino haijatokea. Next time wakitabiri zidisheni Imani
 
Back
Top Bottom