Achana na propaganda na wizi wa Fisiemu 🔰 🔰 , hayo maafa yanakuja na yatakapokotokea wala hawatakua na msaada.
huyu ni mpuuzi.....kwanini mnafukua mitaro ili maji yapite, kwanini mmewahamisha watu kando ya mito, kwanini mnatengeneza madaraja( Tanga) kama El Nino ni joto na si mvua kubwa! Blood ng'ombe!Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu
Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027
Comprehension ni changamoto sana, kilichosemwa na wachangiaji wengi wa huu uzi wanachoandika ni vitu tofauti.Watu hawaelewi wapi? Yaani unasoma comment unabaki kushika kichwa, watu wana elimu ndogo sana.
Mimi nilisema haya mambo ya El nino ni upigaji, nikashambuliwa sana.Washakula hela zimeisha wanataka hela zingine kwa njia nyingine sasa tuhamie kwenye namna ya kulidhibiti jua kali la el nino itengwe Billion 900 kudhibiti hali hio, Qumamamake
Kama ndivyo hivyo basi zile pesa za El Nino tugawane wananchi wote.Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu
Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027
TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.
MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 730 za kupambana na mvua kubwa za El nino. Walidai ni za kukarabati madaraja na kuzibua mifereji na zimeshaisha bila kufanyika chochote labda marekebisho madogo Madaraja ya Tanga.
Watu wamebomolewa nyumba zao kwamba nyumba zimeziba njia ya maji ya mvua za El - nino.
Sifunguagi link za member wa JF 😹Achana na propaganda na wizi wa Fisiemu 🔰 🔰 , hayo maafa yanakuja na yatakapokotokea wala hawatakua na msaada.
Soma habari za El nino kutoka vyanzo vya kimataifa, kama kidhungu kinapanda basi anzia hapa 😂 - 2026–2027 El Niño event - Wikipedia
Kila kaya kwa jiji la dar tupatiwe air conditionerSerikali ije na mpango mkakati wa kuzuia wananchi kubabuka ikiwemo utengaji wa rasilimali fedha za kutosha!
Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Safi, ukigoogle pia utapata maandiko ya wikipedia, page za UN na sources nyingine za kuamiinika, kasome huko.Sifunguagi link za member wa JF 😹
Hapa wamedadavua tu na ni kweli El nino siyo mvua (ni kuongezeka kwa joto baharini ambapo kunaweza kuleta maafa mbalimbali ikiwemo mvua kali, vimbunga, moto kwenye misitu n.k)Sasa mbona TMA waliotoa taarifa na ndo wanaokanusha?
Siyo vitisho ni experience ya kile kilichotokea miaka hiyo, haimaanishi na mwaka huu itatokea hivyo hivyo ila tuchukue tahadhari.Na wewe tena umeibuka na vitishovya miaka hiyo ambayo wengine hizo mvua hatukuziona..!!
Sawa, ujiandae tu, kariakoo ikijaa maji mwezi mzima uwe na plan B 😂Em tusubiri zije kama zinakuja tushuhudie..!!
Alert ilikuwepo sema labda wewe hukuatilia taarifa za habari,imesemwa sana hii ElsunSasa kama ilianza mwezi wa 5 kwanini hawakutupa alert tangia mwezi wa nne?
Plan B niolewe kabla haijafika niwe namuwinga mume..!! 😹😹Safi, ukigoogle pia utapata maandiko ya wikipedia, page za UN na sources nyingine za kuamiinika, kasome huko.
Hapa wamedadavua tu na ni kweli El nino siyo mvua (ni kuongezeka kwa joto baharini ambapo kunaweza kuleta maafa mbalimbali ikiwemo mvua kali, vimbunga, moto kwenye misitu n.k)
Mimi sijaona wala kusikia walipokanusha.
Siyo vitisho ni experience ya kile kilichotokea miaka hiyo, haimaanishi na mwaka huu itatokea hivyo hivyo ila tuchukue tahadhari.
Sawa, ujiandae tu, kariakoo ikijaa maji mwezi mzima uwe na plan B 😂
Kwa hiyo Serikali na TMA hakuna mawasiriano hadi iamue kutenga bajeti ya bilioni 700 na point kwa ajili ya mvua ya El nino? Au tunaanza kuchezeana kwa kutuona watanzania na wapumbavu? Serikali ijitokeze itueleze sisi wananchi lengo lao hasa lilikuwa lipi na taarifa ya uwepo wa mvua ya El nino waliitoa wapi kama mamlaka inayohusika inasema haijawahi kutangaza uwepo wa El nino.Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki la bahari ya Pasifiki. Lakini madhara yake ni madogo madogo kutokana na sehemu ulipo. Unajua tunakosea tunaposema mvua za El-nino, hilo ni kosa kubwa". Mwisho wa kunukuu
Amedai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027
TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.
MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 730 za kupambana na mvua kubwa za El nino. Walidai ni za kukarabati madaraja na kuzibua mifereji na zimeshaisha bila kufanyika chochote labda marekebisho madogo Madaraja ya Tanga.
Watu wamebomolewa nyumba zao kwamba nyumba zimeziba njia ya maji ya mvua za El - nino.
Umesoma content za ndani?Umewasiingizia. Wamesema El-nino ipo kubwa. Hawajasema mvua kubwa za El nino.