misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Nchi ngumu sanaWahuni washakula kwa urefu wa kamba zao kudadek
Nchi ngumu sanaWahuni washakula kwa urefu wa kamba zao kudadek
Washakula hela zimeisha wanataka hela zingine kwa njia nyingine sasa tuhamie kwenye namna ya kulidhibiti jua kali la el nino itengwe Billion 900 kudhibiti hali hio, QumamamakeHii nchi ukiwa na akili timamu lazima utapata stress.. sasa huu ni us+nge gani
Inashangaza msomi mwenye PhD unakuwa kigeugeu kwa taarifa muhimu kama hizi!Dar Es Salaam – 18 Agosti, 2026
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa msimu wa mvua za Vuli (Oktoba – Desemba) 2026, ikitoa angalizo la msimu huo kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa iliyotokana na joto la bahari kuwa Juu ya Wastani katika Bahari ya Pasifiki, hali itakayochagiza ongezeko la Mvua za Vuli 2026 kuwa za Juu ya Wastani hadi Wastani katika maeneo mengi ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini, Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki, Ukanda wa Ziwa Viktoria na kaskazini mwa Mkoa wa Kigoma.
Akizungumza juu ya utabiri huo, Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia Nchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang'a alisema:-
"Msimu wa mvua za Vuli 2026 unatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa, hivyo mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi Ukanda wa Pwani ya Kaskazini, Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki, Ukanda wa Ziwa Viktoria na kaskazini mwa Mkoa wa Kigoma”. Aliongezea kusema kuwa Mvua hizo zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Septemba hadi wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba 2026 katika maeneo ya ukanda wa Ziwa Viktoria, na kusambaa taratibu katika maeneo mengine katika mwezi Oktoba 2026, aidha alifanunua kuwa kwa kawaida mvua za Vuli huisha mwezi Desemba japo katika msimu wa Vuli 2026 mvua za nje ya msimu zinatarajiwa kuendelea hadi mwezi Januari 2027, na ongezeko la mvua likitarajiwa hasa katika kipindi cha mwezi Novemba 2026.
Akielezea juu ya athari zinazotarajiwa, Dkt. Chang’a ametahadharisha kuwa "vipindi vya unyevu kwenye udongo wa kuzidi kiasi pamoja na mafuriko vinaweza kujitokeza na kuathiri ukuaji wa mazao na miundombinu ya kilimo," pia aliongezea kusema kuwa ongezeko la kina cha maji katika mabwawa na mito linaweza kuathiri miundombinu ya rasilimali za maji na nishati, huku magonjwa ya mlipuko yanaweza kujitokeza kutokana na uchafuzi wa maji. Magonjwa ya mazao yanayosababishwa na kuvu, bakteria na virusi yanaweza kuathiri uzalishaji wa viazi mviringo, alizeti, maharage, ufuta pamoja na matunda na mbogamboga, huku sekta za usafiri, ujenzi na utalii zikitarajiwa kukumbwa na changamoto za mmomonyoko wa barabara, uharibifu wa madaraja na kuhama kwa wanyamapori kutokana na mafuriko.
Katika hitimisho lake, Dkt. Chang’a amewashauri Wadau wa sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii kupanga na kutekeleza shughuli zao kwa kuzingatia taarifa mahususi za hali ya hewa zinazotolewa na TMA ikiwa ni pamoja na kuvuna maji ya mvua, kuimarisha miundombinu, kutoa tahadhari za mapema na kudhibiti mazalia ya mbu ili kupunguza magonjwa ya mlipuko.
Kilaza mtoto wa Samia anajua nini yule division 5Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Ni kweli kabisa kuwa Elnino ilianza mwezi wa tano na hadi sasa tunachokipitia ni Moja ya athari za Elnino,shida inakuja kwenye hoja kwamba TMA waliaminisha watu kuwa Kuna mvua kubwa za Elnino kama Moja wapo ya matokeo ya Elnino,ukweli ni kwamba Elnino matokeo yake sio tu mvua bali pia Kuna Elsun na EljotoHii ni nini sasa?....imeanza toka mei?..
Chang'a .....vipi aisee...
Hahaha wameweka mpira kwapani. Hatuna satellite angani unatabirije kwa kutaja na tarehe kabisa?Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
TMA imesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Wanadai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu
TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Swhemu zinginezo panawaka jua la El nino.
MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 700 za kupambana na El nino. Walidai ni za kukarabati madarqja na kuzibua mifereji na zimeshsisha bila kufanyika chochote.
View attachment 3695977
Kwaiyo zile billioni 700 itakuwaje?Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
TMA imesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Wanadai kwamba walisema kuna El nino si mvua ya El nino kwani El nino ilishaanza Tangu mei na itadumu kipindi kirefu 2027
TMA wamesema El nino ni hali ya hewa kutokana na sehemu. Sehemu zinginezo panawaka jua la El nino.
MY TAKE;
Mafisadi na Wala nchi ya CCM ndo walitia watu hofu ili wakope hela kwenye taasisi za kimataifa. Wamepewa hela wakagawana watu na Msoga rufiji na Zanzibar. Hela zimeisha na Miradi ya maendeleo imesimama. Kumbuka Serikali ya Tanzania ilitenga Bilioni 700 za kupambana na El nino. Walidai ni za kukarabati madarqja na kuzibua mifereji na zimeshsisha bila kufanyika chochote.
View attachment 3695977
Shenzi, umenichekesha sana!Ni kweli kabisa kuwa Elnino ilianza mwezi wa tano na hadi sasa tunachokipitia ni Moja ya athari za Elnino,shida inakuja kwenye hoja kwamba TMA waliaminisha watu kuwa Kuna mvua kubwa za Elnino kama Moja wapo ya matokeo ya Elnino,ukweli ni kwamba Elnino matokeo yake sio tu mvua bali pia Kuna Elsun na Eljoto
Na uliwalaumu kwa kodi yako kuliwa ******* hivi wanakuteka wakakuueWahuni washakula kwa urefu wa kamba zao kudadek
Serakali ya bongo haina coordinationAsa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Tlaatlaah aje asema tena hata wakati wa Nuhu kulikuwa na watu wana kiburi hivyo hivyo.Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.