TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika

Mbeya waliambiwa wasafishe mitaro ili hizo mvua zikija mitaro isizipe. Sasa leo tunaambiwa ni joto, dadeki
 
Mkuu kwani umeandika uharo gani hapo?? Uharo wa kula viporo vya maziwa yaliyochacha au maharage yaliyo chacha🚮
 
TMA safari hii wana kazi kuthibitisha uwepo wa mvua za el nino.
 
Aise tumepigwa kwahyo shule wanafunzi wamefanya mtihani haraka na serikali imekopa fedha kwa ajiri ya elmino ya joto🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…