TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

 
Inashangaza msomi mwenye PhD unakuwa kigeugeu kwa taarifa muhimu kama hizi!
Baadhi ya wakulima wamesitisha maandalizi mashambani mwao wakiamini kuna el Nino yenye mvua kubwa.
Leo anazikana taarifa zake.
 
Hii ni nini sasa?....imeanza toka mei?..
Chang'a .....vipi aisee...
Ni kweli kabisa kuwa Elnino ilianza mwezi wa tano na hadi sasa tunachokipitia ni Moja ya athari za Elnino,shida inakuja kwenye hoja kwamba TMA waliaminisha watu kuwa Kuna mvua kubwa za Elnino kama Moja wapo ya matokeo ya Elnino,ukweli ni kwamba Elnino matokeo yake sio tu mvua bali pia Kuna Elsun na Eljoto
 
Hahaha wameweka mpira kwapani. Hatuna satellite angani unatabirije kwa kutaja na tarehe kabisa?
 
Kwaiyo zile billioni 700 itakuwaje?
 
Shenzi, umenichekesha sana!
 
Ninachojua mm wilikuwa wanawatoa watu kwenye mfumo juu ya matukio ya kesi ya lisu kuhusu maridhiano na Katiba so wakaleta hoja ya alu minyooo yao niwaombe watanzania wenzangu tuungane na mama Samia mpendwa wetu
 
Tlaatlaah aje asema tena hata wakati wa Nuhu kulikuwa na watu wana kiburi hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…