Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Viwanja vya laki 3 kwenye miji inayokuwa tutavikusanya kuanzia december
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scapegoat anawindwa.Watu kama nyie ndo gundu .
Kazaneni kulaumu itanyeshambona inasifiwa kwa mambo ya kipuuzi wacha ilaumiwe pia kwa mambo ya kipuuzi
Ukiwa na kimavi , kila unachogusa kinakataaScapegoat anawindwa.
Kwa nini hakujenga Bwawa la kidunda? Kwa nini hakujenga mabwawa ya kuhifadhi maji?Magufuli anahusika vp na huu ukame wa sasa, au yeye ndiye kauleta? Ni jukumu la serkali iliyopo madarakani kutatua changamoto na matatizo yaliyopo kwa wakati huo. Mwache mama apambane na hali yake. Wala hajesema ameshindwa sana sana wewe ndiye unataka kumdhalilisha.
Jinsi ulivyo na chuki na Magufuli unasahau kwamba kabla ya Magufuli pia kulikuwepo maraisi (Kikwete na Mkapa). Tena wakati wa Mkapa na Kikwete ndio lilitokea janga la ukame wa kutisha mbona Kikwete au Mkapa hawakujenga hayo mabwawa au kufanya hicho unachotaka Magufuli afanye na bado huwamlaumu? Nani kakuambia Magufuli ndiye alitakiwa kufanya kila kitu hapa TZ?
Unakomaa kumlaumu tu Magufuli ambaye katika kipindi chake cha uongozi hakukuwa na janga la ukame wa kutisha kama sasa na wakati wa Mkapa na Jk?
ACHA CHUKI BINAFSI NA USIPENDE KULAUMU MAREHEMU MAANA NI SAWA NA UTAHIRA.
Wewe utakuwa mugojwa wa akili, hii Ni awamu ya mama Samia, hizi habali linganishi mpelekee bashiru, wewe si ndo ulikuwa unaunga mkono mapinduzi ya bashiru dhidi ya mama Samia, Leo umekuwaje Tena!!?Watu watalaumu serikali ya mama [emoji51][emoji51]
Wakati walikuwa na Rais wao waliyemwita chuma hakuna cha maana alifanya kwa ajili ya tahadhari kama hizi na alipuuza sekta ya Maji.
Utakuwa una kichaa sio bure,mimi na Bashiru wapi na wapi?Wewe utakuwa mugojwa wa akili, hii Ni awamu ya mama Samia, hizi habali linganishi mpelekee bashiru, wewe si ndo ulikuwa unaunga mkono mapinduzi ya bashiru dhidi ya mama Samia, Leo umekuwaje Tena!!?
Kalime halafu uweke akiba, acha wakulima wauze kwa bei nzuri mazao yao.Na tumeruhusu chakula kiuzwe nje.
Hata kama kuna akiba ya chakula ya Taifa bado haikuwa wazo zuri kufungua mipaka wakati tunafahamu kuna uhaba wa mvua??
Hayakuwa maamuzi mazuri.
Kidunda alipaswa aifanyie kazi JK maana Feasibility study na Environment Impact Assessment zilishafanyika tangu 1994 na kurudiwa 2007 na 2008.Mwaka 2010 ilipaswa Project,ianze.Kwa nini hakujenga Bwawa la kidunda? Kwa nini hakujenga mabwawa ya kuhifadhi maji?
Ukame ukija tungepata nafuu wakati tunakabiliana sio sasa ndio Serikali inaanza kuhangaika
Ifike mahali tuache kutegemea mvua, hatutoweza kulaumu mabadiliko ya tabia ya nchi kwani sisi binadamu na mapilika yetu ndo tumeifikisha huku, hata Mungu hatuwezi kulaumu.Dar es Salaam, Tarehe 26/10/2022
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo yakijumuisha mikoa ya (Tabora, Kigoma Kusini, Katavi, Mbeya, Rukwa, Soingwe,Njombe, Iringa, Ruvuma na Morogoro Kusini) katika kipindi cha miezi ya Novemba, 2022 hadi Aprili, 2023.
Wakati wa akitoa utabiri huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Hamza Kabelwa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri, TMA alisema katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2022 – Januari, 2023) vipindi virefu vya ukavu vinatarajiwa kujitokeza, hivyo sekta mbalimbali zinatakiwa kujipanga na kukabiliana na hali hiyo.
“Upungufu mkubwa wa unyevunyevu katika udongo unatarajiwa kujitokeza katika maeneo mengi yanayopata mvua za Msimu na kuathiri ukuaji wa mazao na upatikanaji wa malisho kwa ajili ya mifugo. Vilevile, kina cha maji katika mito na mabwawa kinatarajiwa kupungua na kuathiri upatikanaji wa maji kwa matumizi mbalimbali kama vile umwagiliaji na uzalishaji wa nishati. Mamlaka zinashauriwa kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunzwa pamoja na kuweka miundombinu ya uvunaji maji sambamba na kuandaa na kutekeleza mipango mkakati ya kuhimiza kilimo himilivu”. Alifafanua Dkt. Kabelwa.
Alisema, “Katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2022 – Januari, 2023) vipindi virefu vya ukavu vinatarajiwa kujitokeza hata hivyo, ongezeko la mvua linatarajiwa katika nusu ya pili ya msimu (Februari- Aprili, 2023). Aidha, mvua za nje ya msimu zinatarajiwa mwezi Mei, 2023 katika maeneo mengi.Maeneo ya mikoa ya Singida na Dodoma mvua za Msimuzinatarajiwa kuanzakwa kuchelewa katika wiki ya pili ya mwezi Januari, 2023“.Alizungumza Dkt. Kabelwa
Mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Singida, Dodoma, Ruvuma, Lindi na Mtwara.Aidha, mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Njombe, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa na kusini mwa mkoa wa Morogoro.
Akizingumzia kuhusu Msimu wa Vuli kwa miezi ya Oktoba hadi Disemba 2022 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka, alisema Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, Pwani (ikijumuisha kisiwa cha Mafia) pamoja na Zanzibar (visiwa vya Unguja na Pemba), msimu unatarajiwa kuendelea kama utabiri ulivyotolewa tarehe 2 Septemba, 2022, ambapo maeneo mengi yanatarajiwa kupata mvua za chini ya wastani hadi wastani. Aidha, mvua za nje ya msimu zinatarajiwa katika mwezi Januari, 2023.
Kuna watu wana matatizo ya akili yani huwezi mtu ukawa bado unakerekwa na mtu ambaye ameshafariki hata kama ulikuwa unamchukia ila amekufa na kukuacha ila bado chuki ipo pale pale sasa ulitaka iweje? Ni wazi ni tatizo hili.Magufuli anahusika vp na huu ukame wa sasa, au yeye ndiye kauleta? Ni jukumu la serkali iliyopo madarakani kutatua changamoto na matatizo yaliyopo kwa wakati huo. Mwache mama apambane na hali yake. Wala hajesema ameshindwa sana sana wewe ndiye unataka kumdhalilisha.
Jinsi ulivyo na chuki na Magufuli unasahau kwamba kabla ya Magufuli pia kulikuwepo maraisi (Kikwete na Mkapa). Tena wakati wa Mkapa na Kikwete ndio lilitokea janga la ukame wa kutisha mbona Kikwete au Mkapa hawakujenga hayo mabwawa au kufanya hicho unachotaka Magufuli afanye na bado huwamlaumu? Nani kakuambia Magufuli ndiye alitakiwa kufanya kila kitu hapa TZ?
Unakomaa kumlaumu tu Magufuli ambaye katika kipindi chake cha uongozi hakukuwa na janga la ukame wa kutisha kama sasa na wakati wa Mkapa na Jk?
ACHA CHUKI BINAFSI NA USIPENDE KULAUMU MAREHEMU MAANA NI SAWA NA UTAHIRA.
Hapa tatizo kila jambo linafanyika kumkomoa Magufuli. Hawajui kwamba maamuzi yifanyika kwa kuzingatia ushauri wa wataalam na kwa maslahi ya Taifa.Kalime halafu uweke akiba, acha wakulima wauze kwa bei nzuri mazao yao.
Alichoweza ni kuijenga Chato tu.Watu watalaumu serikali ya mama [emoji51][emoji51]
Wakati walikuwa na Rais wao waliyemwita chuma hakuna cha maana alifanya kwa ajili ya tahadhari kama hizi na alipuuza sekta ya Maji.