TMA: Sekta zijipange kukabiliana na upungufu wa mvua

Viwanja vya laki 3 kwenye miji inayokuwa tutavikusanya kuanzia december
 
Mwaka jana walisema hivi na mvua zikawa kuuuubwaa...
 
You'll never come out with sustainable agri-green revolution by depending upon these kind of rainfall and TMA's weather acrobatics
Utakufa vibaya sana wewe nakuhurumia!!
 
... mwaka huu tulifurahia sana "hali nzuri ya hewa" ukanda wa Pwani; joto halikutesa sana kama miaka ya nyuma; kulikuwa na ubaridi mzuri sana hadi kwa mara ya kwanza Dar es Salaam tulijifunika usiku gubigubi!

Majibu yake ndio hayo; hapakuwa na joto la kutosha kuchemsha bahari na other water bodies zizalishe mvua. Mola wetu ndiye mjuvi wa yote.
 
Kwa nini hakujenga Bwawa la kidunda? Kwa nini hakujenga mabwawa ya kuhifadhi maji?

Ukame ukija tungepata nafuu wakati tunakabiliana sio sasa ndio Serikali inaanza kuhangaika
 
Hawa jamaa huwa wanaibuka wakati ambao kila mtu anakuwa ashajua hali ya hewa ilivyo...

Mabadiliko ya hali ya hewa yameikumba sehemu kubwa ya dunia kwa sasa...
 
Kiukweli serikali hii .uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo ..wanatafuta excuse ya kutokea kwenye suala la umeme... inshort they are worse than ever before...wamekosa strategies kabisa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi ,Hadi wapate fedha za UN COP ,USAID,EU,UKAID .
 
Watu watalaumu serikali ya mama [emoji51][emoji51]

Wakati walikuwa na Rais wao waliyemwita chuma hakuna cha maana alifanya kwa ajili ya tahadhari kama hizi na alipuuza sekta ya Maji.
Wewe utakuwa mugojwa wa akili, hii Ni awamu ya mama Samia, hizi habali linganishi mpelekee bashiru, wewe si ndo ulikuwa unaunga mkono mapinduzi ya bashiru dhidi ya mama Samia, Leo umekuwaje Tena!!?
 
Wewe utakuwa mugojwa wa akili, hii Ni awamu ya mama Samia, hizi habali linganishi mpelekee bashiru, wewe si ndo ulikuwa unaunga mkono mapinduzi ya bashiru dhidi ya mama Samia, Leo umekuwaje Tena!!?
Utakuwa una kichaa sio bure,mimi na Bashiru wapi na wapi?

Kila siku nakwambia mimi sio mwanaccm ila ni mshabiki wa SSH
 
Na tumeruhusu chakula kiuzwe nje.

Hata kama kuna akiba ya chakula ya Taifa bado haikuwa wazo zuri kufungua mipaka wakati tunafahamu kuna uhaba wa mvua??

Hayakuwa maamuzi mazuri.
Kalime halafu uweke akiba, acha wakulima wauze kwa bei nzuri mazao yao.
 
Kwa nini hakujenga Bwawa la kidunda? Kwa nini hakujenga mabwawa ya kuhifadhi maji?

Ukame ukija tungepata nafuu wakati tunakabiliana sio sasa ndio Serikali inaanza kuhangaika
Kidunda alipaswa aifanyie kazi JK maana Feasibility study na Environment Impact Assessment zilishafanyika tangu 1994 na kurudiwa 2007 na 2008.Mwaka 2010 ilipaswa Project,ianze.
I stand to be corrected!
 
Ifike mahali tuache kutegemea mvua, hatutoweza kulaumu mabadiliko ya tabia ya nchi kwani sisi binadamu na mapilika yetu ndo tumeifikisha huku, hata Mungu hatuwezi kulaumu.
Lakini tutumie maji taka kuyabadilisha kwa ajili ya matumizi kwa kuyavuna, kusafisha na kuyatibu ili tutatumie tena.
 
Kuna watu wana matatizo ya akili yani huwezi mtu ukawa bado unakerekwa na mtu ambaye ameshafariki hata kama ulikuwa unamchukia ila amekufa na kukuacha ila bado chuki ipo pale pale sasa ulitaka iweje? Ni wazi ni tatizo hili.
 
Kalime halafu uweke akiba, acha wakulima wauze kwa bei nzuri mazao yao.
Hapa tatizo kila jambo linafanyika kumkomoa Magufuli. Hawajui kwamba maamuzi yifanyika kwa kuzingatia ushauri wa wataalam na kwa maslahi ya Taifa.

Tunakoelekea uchaguzi wa mwaka 2020 utafutwa ili ufanyike mwingine kwakua tu ulifanyika kipindi Magufuli akiwepo. Watasahau kwamba uchaguzi huo ndio umewaweka madarakani.
 
TMA kwa kuingia chaka wako juu. Wakaiona muda umepita bila mvua ndo wanatabiri ukame. Siku mvua ikipiga Dar yabuhakika wanatabiri mvua kubwa. Nimewafuatilia kwa muda mrefu sasa japo utabiri huu wanaweza wakawa wamebashiri sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…