Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Awamu hii ambayo Rais wa jumhuri ya muungano wa Tanzania hana furaha kwa mke wake kama yeye mwenyewe alivyojinasibu,ni kweli kwamba Laki Si Pesa?na isiponyesha waombe radhi kwa kutudanganya
Huo ni utabiri au ramli inaweza itokee au ikashindwana isiponyesha waombe radhi kwa kutudanganya
Kwa bahati nzuri imeanza kunyesha hivyo tuwaombe radhi kwa kutowaamini. Ila nikupongeze kwa msimamo wako wakati wa kampeni una maono si kama hawa waliokuwa wanashabikia Tototundu mpaka @mshanajr akaniombea Ban kwa kutamka hadharani kuwa Tototundu ni mpumbavu maana anawadanganya watanzaniana isiponyesha waombe radhi kwa kutudanganya
Imeanza kunyesha maeneo ganiKwa bahati nzuri imeanza kunyesha hivyo tuwaombe radhi kwa kutowaamini. Ila nikupongeze kwa msimamo wako wakati wa kampeni una maono si kama hawa waliokuwa wanashabikia Tototundu mpaka @mshanajr akaniombea Ban kwa kutamka hadharani kuwa Tototundu ni mpumbavu maana anawadanganya watanzania
Habari zake huwa ni mbaya mbaya huyo....Nampenda Miss Zomboko [emoji847][emoji847][emoji847]
Unajua maana ya probability!!?na isiponyesha waombe radhi kwa kutudanganya
Achana na crush wangu mkuu..ohoooNampenda Miss Zomboko [emoji847][emoji847][emoji847]
Si ndo ishanyesha au kuna nyingine ya buku jero?Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
View attachment 1633464
Mkuu seems like unanichukia kwa kifurushi cha mamilioni. Nakuombea amani ya moyo siku ya leo maana life is too precious to waste it on hating someoneHabari zake huwa ni mbaya mbaya huyo....
she is a kind of wich...!
Wanasubiri mvua ianze kunyesha ndio wanatoa habari, mimi naamini habari za CNN na BBC forecastTaarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
View attachment 1633464
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana na crush wangu mkuu..ohooo