TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

Mkuu seems like unanichukia kwa kifurushi cha mamilioni. Nakuombea amani ya moyo siku ya leo maana life is too precious to waste it on hating someone
Kumbe unajua namna ya kureply? 🤣🤣🤣

Kwa mara ya kwanza nimeona comment yako mrembo
 
Wakuu, hivi ni nchi nzima au sehemu na sehemu maana hapa nilipo nimelowa jasho kwa jua lililopo hapa
 
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.

Chakaahiloo
Siokwajuahilii
 
Back
Top Bottom