TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

Unajua maana ya probability!!?
mwenye hakika na jambo ni muumba tu..
binadamu uwezo wetu umeishia kwenye
Probability TAKE that
Probability labda kwa TZ tu ,Nchi zilizoendelea wanatoa kitu 100% true!! Ndio maana ya sayansi ,wanasanyansi wanajua lini jua au mwezi utapatwa na kwakutumia uzoefu na calculation hizo hizo wanajua mvua itanyesha au haitonyesha!! Kwasasa TMA wanavyombo angalau vinaotea kwa 70%.
 
Kwa bahati nzuri imeanza kunyesha hivyo tuwaombe radhi kwa kutowaamini. Ila nikupongeze kwa msimamo wako wakati wa kampeni una maono si kama hawa waliokuwa wanashabikia Tototundu mpaka @mshanajr akaniombea Ban kwa kutamka hadharani kuwa Tototundu ni mpumbavu maana anawadanganya watanzania
Nilikula ban kwa kumuita tototundu mwendawazimu😂😂
 
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.

View attachment 1633464
Uwezekano wa kutokea ni wastani
 
Mkuu seems like unanichukia kwa kifurushi cha mamilioni. Nakuombea amani ya moyo siku ya leo maana life is too precious to waste it on hating someone
Leo umejibu maajabu ......!!!
am sorry nimejaribu kukuprovoke nione matokeo....
nimefanikiwa..
manake ukishatoa habari zako hukoment kitu tena the whole thread
I love you so much.....
stay blessed...
 
Back
Top Bottom