Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kunywa chai ya tangawizi kali, kula samaki wenye madini mengi ya zinc kama pweza na supu yake, tumia vitunguu swaumu, kula ugali dona bila kusahau mbogamboga, kunywa juice ya staferi na juice ya tende pia changanya na maziwa fresh, mazoezi pia muhimu kwa afya yako.Wanaume tukkutane hapa tujue tunafanyaje sasa
Kwa uchache ukifanya hayo huitaji booster yoyote ambayo baadaye itakuletea ukhanisi tu.