TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

Dili kubwa sana mjini......nataka kuwa mganga wa jadi,ila natibu nguvu za kiume tu..........na wanawake kutopata ujauzito.......ni dili kubwa mjini maana Kuna shida kubwa sana ktk watu waishio mijini
madawa ya nje haya ndiyo hatari.Lakini miti yetu poa tu.
 
Ni kweli zinatumika sana na DLDM pahala flani hvi NJOI ndio inaongoza kutoka afu wanaonunua sio wazee ni vijana tu au watoto wadogo wa 20's....
 
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.

Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.

Chanzo: Nipashe
Wanaume tukkutane hapa tujue tunafanyaje sasa
 
ukweli ni kwamba ukosefu wa nguvu za kiume ni tatizo la saikolojiana zaidi.
tiba yake inatakiwa iwe ya kutibu saikolojia na sio vitendea kazi.

Naam, zama zetu hizi kila mtu yuko huru kuchagua atakacho, mimi nimechagua kuburudisha wale wenye njaa ya tendo.

Kinamama wote karibuni PM, njoo uonje msisimko.
#nikoseriouskabisa
 
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.

Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.

Chanzo: Nipashe
Kwani wasiotumia Hawatakufa? Mm situmii Ila Wote Njia Yetu ni Moja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama zina madhara yanayopelekea. Kifo kwanini zinaruhusiwa kuingia nchini?

Kama wameonyesha nia ya kudhibiti vipodozi kwanini washindwe kuzui hizo?

Je, ni kipi chenye madhara zaidi, ni kile kinachochubua ngozi ama kinachotanua mshipa wa damu hadi kupasuka na kupelekea kifo?
Hivi ndo hizo erecto? Mwenyewe nimeshangaa kama zina madhara makubwa wanaachaje zinazagaa madukani hivyo..maana nazionaga zimetundikwa kabisa.
 
Hivi huwa shida ni nini mpaka mwanaume atumie dawa ?
Wadada wa siku hizi wamekua sugu sana.
Njia hiyohiyo inapitishwa matango na vyupa vya soda daily, sasa sharobaro akijipigia nusu saa anaanza kunangwa kua hawezi kitu,
Mwisho wa siku kijana wa watu anaenda kujipoteza kwenye uraibu wa kutumia hayo madawa.
Hili tendo likichukuliwa kama tendo la starehe mbona halina mambo mengi, ila tatizo siku hizi vijana wanalichukulia ni tendo la kukomeshana na kuonesha umwamba.
Kabla ya mechi unakuta kijana na binti wanatambiana kabisa kua leo nakutoa kwa knock out(KO).
 
Sitaki sana kum refer konde boi ila ndo hivyo
 
Back
Top Bottom