TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

Kama zina madhara yanayopelekea. Kifo kwanini zinaruhusiwa kuingia nchini?

Kama wameonyesha nia ya kudhibiti vipodozi kwanini washindwe kuzui hizo?

Je, ni kipi chenye madhara zaidi, ni kile kinachochubua ngozi ama kinachotanua mshipa wa damu hadi kupasuka na kupelekea kifo?
 
Hata Sigara zimeandikwa hatari Kwa afya yako na watu wanavuta........chagua kutumia au kuacha
 
Kuna watu ni waajabu sana, "wanataka kulikomoa shimo kwa kulichimba kina kirefu".
 
Tunatishana Sana Ndugu Zangu, Mara Vigogo Wafa, Vigogo Wapukutika
Tumtangulize Mungu Mbele, Tutaishinda Hili Ni Pepo Kama COVID 19
Tuliishinda Kwa Maombi, Haa
 
Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.

Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.

Chanzo: Nipashe
Na wasiokunywa hawafi?
 
Huyu Mkurugenzi mbona ameongea kwa vitisho sana.?!
 
Back
Top Bottom