Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kunywa chai ya tangawizi kali, kula samaki wenye madini mengi ya zinc kama pweza na supu yake, tumia vitunguu swaumu, kula ugali dona bila kusahau mbogamboga, kunywa juice ya staferi na juice ya tende pia changanya na maziwa fresh, mazoezi pia muhimu kwa afya yako.Wanaume tukkutane hapa tujue tunafanyaje sasa
Mzee wa nyuchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeanzisha mada nyingineHivi huwa shida ni nini mpaka mwanaume atumie dawa ?
Ndo mseme sasaUmeanzisha mada nyingine
You made ma day [emoji13][emoji13][emoji13]Mbona mapema hivi, na kushtukizana huku vipi? sijaipenda hii kabisa.... nimeshtuka hadi nimemwaga AL KASUS yangu hapa
asante mkuu kwa mchangoKunywa chai ya tangawizi kali, kula samaki wenye madini mengi ya zinc kama pweza na supu yake, tumia vitunguu swaumu, kula ugali dona bila kusahau mbogamboga...
Sasa kwanini usiwe addicted!?Na washakuwa addicted
Sawa, wewe usiyetumia hutakufa. But who are you?, are we "Medical devices"????mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³Kunywa chai ya tangawizi kali, kula samaki wenye madini mengi ya zinc kama pweza na supu yake, tumia vitunguu swaumu, kula ugali dona bila kusahau mbogamboga, kunywa juice ya staferi na juice ya tende pia changanya na maziwa fresh, mazoezi pia muhimu kwa afya yako.
Kwa uchache ukifanya hayo huitaji booster yoyote ambayo baadaye itakuletea ukhanisi tu.
Kwa hiyo katoa kabisa conclusion, yaani ni kufa tu hakuna namna nyingine.....Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
Chanzo: Nipashe
Citrate.Haya wale wazee wa sildenafir tokeni kwenye vichuguu huko
Shida ni nyinyi Wanawake hasa MaYoutong. Hatutaki Dharau.Hivi huwa shida ni nini mpaka mwanaume atumie dawa ?
Sasa kwanini mnaziruhusu zinauzwa madukani? Tena ni maduka makubwa?Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
Chanzo: Nipashe