TMT show ya kina Monalisa on ITV


binamu we mbaya ....

niliwahi kukiona Mara moja hiko kipindi.
 
binamu we mbaya ....

niliwahi kukiona Mara moja hiko kipindi.

Kwa nini binamu? Kipindi chao kizur nilimshangaa tu lulu jinsi alivyokuwa na kipaji cha kutangaza cha hali ya juu, nadhan uko panamfaa zaidi kuliko filamu, yeye na monalisa wako poa sana kwenye utangazaji,

halafu nasikia huyo romy ni mchepuko wa lulu, nasikia jamaa anamgharamia kila kitu, ila jamaa wamekuja vizur sana na wamejipanga vibay kuiteka film industry
 
Huyo Wema awe jaji kwa vigezo gani? Akiingia yeye ataharibu kabisa
 

Kweli we kiboko
 
hivi huyu roy sarungi ana uhusiano na Prof. Sarungi au?
 
Na sidhani hata hicho kigodoro anakiweza.Yani kile kisauti ndo kinachonichefuaga kabisaaa na kujidai kitoto wakati umri umeishamtupa mkono

haagahaha honey ulitaka aongee besi au
 
Last edited by a moderator:
kipindi chao ni kizuri wanajitahidi na majaji walewale wanafaa au pale angeongezeka cheni au pasta mnyamba na lengo si kutafta mashabiki bali ni kutafta vpaji mana watu wanamtaka wema na angekua wa mana kipindi chake si angepata wadhamini.
 
Wema yuko vizuri....ila kuwa jaji hapana....
 
Mkuu mito, unaposema Roy anakuboa na pia "ndio kabisa hajiwezi" kwa vipi yani? Naona sijakupata uzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…