DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Kubadili mkoa ni mbinu nzuri sana hasa kama hauna cha kupoteza kwa kubaki hapo ulipo.Biashara nafanyia iringa.
Pole sana ndugu yangu. Wengi wanapitia haya, hauko peke yako. Hii picha ndiyo biashara yao au?Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Ngoja tuone, tatizo maji yamezidi unga.kaza moyo tukianza tusimulie yetu hapa JF utaona yako yana unafuu.mimi deni dogo ni milioni 1. na maisha yana kwenda
Hiyo biashara haukuzaliwa nayo na bila shaka wakati unaianza haikuwa kubwa tu ghafla.Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Ah umeanza lini? Si ulihama wewwSali sana mkuu, ukimuamini mungu kuna wepesi, kama kamzigo flani kanapungua
Bora wanunue kisuBiashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuuπ
Sina cha kupoteza kabisa asee,nikipata relief kidogo nifanye hivyo nduguKubadili mkoa ni mbinu nzuri sana hasa kama hauna cha kupoteza kwa kubaki hapo ulipo.
Unaitwa sitaki kuamini.Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuuπ
Dah Mungu aingilie kati kwakweli.Tunaopitia hivyo ni wengi sema tunakaza tu mana hakuna wa kumlilia zaidi ya Mungu
Wazee wa kumanifest. Wadogo zake Munno Healer ππβ€οΈπ₯kwa yote watakayokushauri yafanyie kazi huku ukiwa na positive mindset jiwazie mema wewe kwanza
hakuna kuogopa hapa naelekea kujikopesha pesa ya mtu nishaanda mawakili siku akija kwa jazibaNgoja tuone, tatizo maji yamezidi unga.
Unaingiza na kuspend kiasi gani?Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
HahahaaaaWazee wa kumanifest. Wadogo zake Munno Healer ππβ€οΈπ₯
kusali kutamsaidia kupunguza mawazo kama ana imaniAh umeanza lini? Si ulihama weww
Sio madeni tu ndugu ,madaraja mengi yamevunjikaDepression waachie wazungu, sema una msongo wa mawazo.... chanzo hasa ni hayo madeni.