To my JF family, nina DEPRESSION

Kwenye picha hapo chini kulia kuna kikapu famous duniani yaani Iringa Basket.

Mkuu kuna breakthrough kwenye hiyo item. Karibu inbox....
 
[emoji24] mama yangu usiku wakuamkia j5 kapigwa tukio la kijambazi , bongo yakisefenge sana ,imebidi niende bar kabisa leo mkuu , coz ilibaki kidgo waniondolee uhai wa kipenz changu mama yangu mzazi[emoji24][emoji24][emoji24]
yaani kavamiwa au?
 
Kwa kuweza tu kuandika hapa tayari uko pazuri! Mshukuru sana Mungu kuna wengine hawana hata uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo frampen shingap?
 
Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuu[emoji120]
Kumbuka kutoa zaka 10% kila unachopata, hutokula mapato yako na shetani.
Pia mtafute Mungu kwa nguvu zako,ulijisahau umekaribisha wageni wanakula na wewe sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…