Wageni 2000 mbili jamani? Hio ni Kama shule moja ya msingi ikiwa na kikao na Mwalimu wao mkuu hapa Kenya.
Upuzi mtupu, SADC ni upuzi mtupu hamna lolote imesaidia Nchi za Muungano huo kiuchumi au hata politically...
DRC madini yanaibiwa na Vita vinaendelea SADC ikiangalia tu na kunyamaza,
Uchumi wa Zimbabwe umeadhirika SADC akiangalia tu,
Angola wameishi Vita vya wenyewe kwa wenyewe SADC wakiangalia tu,
Watanzania wanaibiwa madini na kuuwawa SA SADC wakiangalia tu.
Nchi zilizo na ushawishi mkubwa na zenye uchumi afadhali ni SA, Botswana, Namibia na Angola Hawa wengine ni walalahoi Kama vile Malawi, TZ, Mozambique, DRC, Zimbabwe na Zambia.
Nchi kumi wageni 2000 mbili wanafanya mpige kelele hivi na Kama mgepokea 10000 Kama Wakenya si mgetupiga?
SADC ni upuzi mtupu.