DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Tulia mdogo etu nadhai jf umeanza kuijua juzi tu. Unamjua Bujibuji Simba Nyamaume wewe? 😀Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔