‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Daaah, moyo wangu umepasuka vipande vipande, bora ungefanya siri
Ukinipa 2ml atakubali unajua anaogopa kuongeza matatizo tutagawana pasu kwa pasu sasa unakuja home kwetu hutoo hata jero ya kunywa mbege aii ni ngumu
 
Ukinipa 2ml atakubali unajua anaogopa kuongeza matatizo tutagawana pasu kwa pasu sasa unakuja home kwetu hutoo hata jero ya kunywa mbege aii ni ngumu
Hii 2M halafu mwamba bado hana uhakika wa kupata bidhaa yake , hii sawa na betting uweke ila matokeo liwalo na liwe ,Unique Flower ndugu yangu unatafta kulogwa😅
 
Embe bichi sijui km utakubaliwa, ungejiita parachichi, matoke au hata ngunyani kidogo dada to yeye angekusikiliza..!!
Hizo embe mbichi wapelekee wazaramo watangeneze chachandu 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom