‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Ukipenda boga upende na uwa lake, Upo tayari au hukujipanga kwa hilo?

Maana baadhi ya njemba za JF mnakuwaga na Genye M'bwatuko kiasi cha kupenda ID
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Yesu wangu!
Mapenzi sasa yanashika kasi kuliko mwanga!
huyu mtu anaitwa Embe Mbichi hutasikia kichefuchefu wala gharama za kununua uchachu! tayari anao!
ila hili ya kushika Nusu ya Moyo wa mtu!!!!
tena kwa mwanaume!
hapa nahisi umepigwa!
mwanaume hajawahi kuathirika na moyo bali mind yake!
yeye kila kitu ni kichwa!
wavulana muelewe wanaopenda kwa moyo ni ya wanawake tu!
hii ya moyo wanaume mmeathirika kutokana na malezi.
 
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Kho Kho Kho yau yau
 
Back
Top Bottom