‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi[emoji257][emoji519][emoji174]
Hivi wewe utaacha lini kukosea watu adabu, hujui kama hiyo ni mke wa mtu, au nimwambue mumewe aje akupige pipe Ndio utaelewa? Kuwa na heshima
 
Dah..!! Ungenitonya mapema gwa kukhajhaaa..!!! Mimi nimeishia Mfikemo na Mbeya pazuri..!! Wala huko UNIVERSAL sijatia maguu..!
Hahahaaa. Ulikula bata Mby pazuri ukavuka tu barabara ukatulia Mfikemo.

Huyu mitaa yake ya kujidai ni Uyole.

Ukimkosa Universal atakuwa Suluti, lunch huwa anakula P square au Makasini, jioni anaenda kulala Southern Highland Hotel.

Cheza hayo maeneo, utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom