‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Mi ni shindikana shost,nitamuumiza bure🤨
Mpende akupendae asiyekupenda mtenge . Tulia na bwana ako aliyekutangazia nia . May be now huoni ila ule uzee wa haswa ukifikia ndio unaanza presha
Kuna watu shindikinaa usiwaige wao wajanja
 
Mi shindikana wa moyo kuchoka na haya mambo,nikitaka kweli basi nitamkubalia wa mtaani....mitandaoni nimepoteza sana muda....ni kheri kupoteza muda ukiwa alone cute
 
Back
Top Bottom