To you Mo11

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti saa mbovu, umefanya kuna kitu nimekumbuka, nikacheka tu.
Imebidi tu maana huyu shemeji yako kwa michepuko amekubuhu.
Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkwe kila nikitaka kuleta mahari natambulishwa baba mpya...

Yule muuza vifuniko vya utamu kaachwa pia?
 
Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu namsamehe asubuhi, then jioni anarudia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe kwa vituko, haya ukajibuje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaaaaa makubwa haya mm likes najitoleaga tu kumbe wake zenu wanawafatilia jamani mtajuana na wake zenu mm likes naendelea kutoa tu

Kwahiyo ukamjibuje eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…