Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mpaka nitakapoishiaUmeanza hadi lini? Ili nijiandae kisaikolojia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka nitakapoishiaUmeanza hadi lini? Ili nijiandae kisaikolojia.
Huwezi kupenda au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio ninajifanya, ninazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi unajifanya una akili sana eeeh!!!
Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti saa mbovu, umefanya kuna kitu nimekumbuka, nikacheka tu.
Imebidi tu maana huyu shemeji yako kwa michepuko amekubuhu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila Wahenga walishatuasa basi tu na ubishi wetu wana nzengo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maisha hayo ndugu yangu.
Utajuaje haupendeki?Hahahaha, swali gumu,ila si wanasemaga mpende anaekupenda au ? Sasa ukipenda usipopendeka je
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe kwa vituko, haya ukajibujeKwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....
Basi ilipo wasia saa sita mchana, akaniamsha kisha akaniambia tutoke.....
Mara paaahhpp, tukaingia pizzeria (anajua ninapenda sana pizza), sasa katikati ya kukula akaniuliza kuhusu wewe (eti mbona unanipea like mob zaidi ya Khantwe
Khaaaaaa makubwa haya mm likes najitoleaga tu kumbe wake zenu wanawafatilia jamani mtajuana na wake zenu mm likes naendelea kutoa tuKwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....
Basi ilipo wasia saa sita mchana, akaniamsha kisha akaniambia tutoke.....
Mara paaahhpp, tukaingia pizzeria (anajua ninapenda sana pizza), sasa katikati ya kukula akaniuliza kuhusu wewe (eti mbona unanipea like mob zaidi ya Khantwe
Kupenda unapopendwa raha sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]Ila Wahenga walishatuasa basi tu na ubishi wetu wana nzengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajuaje haupendeki?
Ukiwa unaiba hutakiwi kuwa na wivuMie namtaka mwenye wivu kama j.
Hahhaha jamani wake wa wanaume wa jf kazi wanayo na mm likes siachi kutoa@shunie kijoti kinakuhusu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fisiemu inawakumbusha kuweka ili msikufe hatimaye muwapigie tena kula 2020.
Ujumbe wa leo,
Ongeza wajinga, okoa chama.
Sent using Jamii Forums mobile app