To you Mo11

To you Mo11

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti saa mbovu, umefanya kuna kitu nimekumbuka, nikacheka tu.
Imebidi tu maana huyu shemeji yako kwa michepuko amekubuhu.
Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkwe kila nikitaka kuleta mahari natambulishwa baba mpya...

Yule muuza vifuniko vya utamu kaachwa pia?
 
Ebu msamehe kama alivyo fanya mke mwema sikuzile wakati bado sijamrudia Mungu....[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu namsamehe asubuhi, then jioni anarudia.
 
Kwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....
Basi ilipo wasia saa sita mchana, akaniamsha kisha akaniambia tutoke.....
Mara paaahhpp, tukaingia pizzeria (anajua ninapenda sana pizza), sasa katikati ya kukula akaniuliza kuhusu wewe (eti mbona unanipea like mob zaidi ya Khantwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu wewe kwa vituko, haya ukajibuje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....
Basi ilipo wasia saa sita mchana, akaniamsha kisha akaniambia tutoke.....
Mara paaahhpp, tukaingia pizzeria (anajua ninapenda sana pizza), sasa katikati ya kukula akaniuliza kuhusu wewe (eti mbona unanipea like mob zaidi ya Khantwe
Khaaaaaa makubwa haya mm likes najitoleaga tu kumbe wake zenu wanawafatilia jamani mtajuana na wake zenu mm likes naendelea kutoa tu

Kwahiyo ukamjibuje eti
 
Back
Top Bottom