Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Kaizer shemdarling ...Dah....kweli nimeamini..wanaume ukiwa huna heka mababea hawakutaki. Ukitafuta hela ukazipata wanakucheat mchana kweupeeee kisa uko busy kusaka hela
Suluhisho ni nini?
Cc Asprin kwa taarifa
Bcc Sky Eclat Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mpenzi shemeji Sakayo...hebu naomba maji kwanza nina kiu@Kaizer shemdarling ...
Sijui uneiiita au nimesikia vibayaaa
Mkwe unataka mke au hutaki?
Aww.....Ni kweli mpenzi shemeji Sakayo...hebu naomba maji kwanza nina kiu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya baridi shemdarling..halafu kuna sehem ntakupeleka baadayeAww.....
Usijali shemdarling eehh.... Ya moto ama ya baridiii
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ndio unasema hivyoHahahaha, hapana Boss ,mutoto muzuri km weye mutu anakuachaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo umepata shemdarling...
Sawa kaka wa mimi, nimekuekewa na nitalifanyia kazi.Ohhhppppssss.....
Pole sana mkuu, kwanza ndio nimepata wasaha wa kusoma hii uzi.
Jambo pekee lenye naweza kukushauri kama mzowefu wa hii kiwandani ni kwamba, you can not resource your love with or by fight.....
Please kaa kwenye kiti chako kama mama/mke ndani ya Boma, and don't try to change the nature kwamba wewe ukuwe beberu.
Habari za jioni kaka kaizer!Dah....kweli nimeamini..wanaume ukiwa huna heka mababea hawakutaki. Ukitafuta hela ukazipata wanakucheat mchana kweupeeee kisa uko busy kusaka hela
Suluhisho ni nini?
Cc Asprin kwa taarifa
Bcc Sky Eclat Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni pesa.Makubwaaaaaa. Baba wa kambo amekutumia muamala mrefu au yamekukuta yapi?