To you Mo11

To you Mo11

Naona mdogo wangu unajiexpress uaself.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ohhhppppssss.....
Pole sana mkuu, kwanza ndio nimepata wasaha wa kusoma hii uzi.
Jambo pekee lenye naweza kukushauri kama mzowefu wa hii kiwandani ni kwamba, you can not resource your love with or by fight.....
Please kaa kwenye kiti chako kama mama/mke ndani ya Boma, and don't try to change the nature kwamba wewe ukuwe beberu.
Sawa kaka wa mimi, nimekuekewa na nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom