Zisikutishe wala nini wanajifariji tu [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
hilo cheko sasa kama Solo ah ah ah ah la kibabeAh ah ah ah unajua uzi unatembea pasipo kuwepo mhuka wa upande wapil?
Sent using Jamii Forums mobile app
Misio mkali chief, sema mini nyani mzee humu msituni... tehteehhteeehhhhhwakali wa hizi kazi naona umefungua macho
Aitheee hili dansi unalocheza I wish tungecheza wote kwa chumbaZisikutishe wala nini wanajifariji tu [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba umekwepa mishale mingi na bado uko byeeeMisio mkali chief, sema mini nyani mzee humu msituni... tehteehhteeehhhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe hauvumi lakini umo[emoji85] [emoji85] [emoji85]Yote niliyamaliza mkuu, hahahah...... Umenikimbusha mbali Sana wallah...[emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeicheki, yaani ni kama copy n paste ya jf.Walishatengeneza subforum ya TZ kama ilivyo subforum ya Kenya hapa JF.
Mara nyingi watu wanakuwa kwenye subforum ya TZ japo kuchanganyikana kwenye majukwaa yao ni vizuri pia.
Mmmmmh!!amelala
Akuu sikuhizi hatusalimiani ....vyuma vimekaza hata salamu hazina faida tenahapana mkuu, fanya uende pm huko ukatoe salam
kumbe mnafanya nini sikuiz??Akuu sikuhizi hatusalimiani ....vyuma vimekaza hata salamu hazina faida tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi simo kabisa mkuu, sema sehem kubwa na masaa mengi niliyatumia humu jf. Hivyo sikua na sehem yeyote ambapo nikiweza kukutana na marafiki na kujichanganya.Wewe nawe hauvumi lakini umo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapana sijasema alisha kinukisha usininukuu vibaya ndugu yangu