To you my love

To you my love

Wewe nawe hauvumi lakini umo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mi simo kabisa mkuu, sema sehem kubwa na masaa mengi niliyatumia humu jf. Hivyo sikua na sehem yeyote ambapo nikiweza kukutana na marafiki na kujichanganya.
Alafu mkuu, ujue shida ya watu wengi huchukulia jf as if ni sehem very special, na hapo ndipo tunapo kosea.
Jf ni kama kitaa tu,na hata watu wa jf ndio wale wale ambao tuponao huku Ushirombo, so nothing special here mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom