To you my love

Hii comment..

Hii comment ...

Hii comment...

Imenipa maana kubwa sana kwangu. Nimepata mengi sana..

Hebu rudi kuisoma na wewe hiyo comment yako uone..

Don't play all cards bruuh..
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ braza jf jf jf jf jf
 
Hahahhahahhaa espy hahhahahahhaha pls usiwe mkali hebu, si kama haya yaliyotokea before na mambo yanakuwaga hot hum tunashangaaga tu
Alijifanya kunitaja na mimi eti nimemtongozea bwanake, alokuwa anapiga nae umbea akasambaza screen shots. Anaambiwa athibitishe akakimbia. Nilimshusha vibaya sana.

Hamna unajua watu humu tunachukuliaga vitu ni utani kumbe watu mnakuwa serious. Ila ukishayaweka mahusiano yako public inabidi uwe tayari kwa lolote tu mdogo wangu.
 
Alhamdulillah niko salama mm na familia yangu sjui huko kwako kaka
Na huku pia halikadhalika tu wazima tunamshukuru Mungu Muweza

Nimeuona huu uzi toka mwanzo ulipoletwa jukwaani nikawa naangaza angaza tu utatokezea kwa wapi sis, yaan mpaka nikatoka kidogo narudi tena naona umenikumbuka

Haya uzi huo tena shemeji kauleta katika masiku haya ya sikukuu,natumai itakua zawadi tosha kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…