To you my love

Sasa mwanume kama hauna pesa unataka mwanamke wa kumfanyia nini? Hata hamu unatoa wapi sasa!! Au ndio anataka aanze kutupa pressure za ujanani!!!
Nashangaa
Kukiwa na kapesa hata mwili unajitengenezea genye wenyewe.
Aende zake huko....akatafute pesa.
Mwanaume kutafuta, mwanamke kutumia
Hawa wa wapiiiiiii.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…