Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ila sio wote wapo watoto wametulia na hawanaga makuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
You cant be serious, hakun mwanamke asiejali, tunasemaga tu hatujali ila kimoyomoyo tunajali.
Achama nayo, fanya vitu vingine
Hiyo inakuhusu wewe mwenyewe.Ah ah ah iv mhsika akisoma hapa anajisikiaje [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukatisha watu tamaa bhanaNashangaa
Kukiwa na kapesa hata mwili unajitengenezea genye wenyewe.
Aende zake huko....akatafute pesa.
Mwanaume kutafuta, mwanamke kutumia
Hawa wa wapiiiiiii.......
Wa kumchambua hawatakosekana.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wakina nan sasa wamchambue nyie ndio wakumchambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ahAlmasi mchangani kwa wenye sonara.
Sie twataka pesa....
Tena bora aje....mmezidi kitonga.Ah ah ah ah ah ah hapo naona Demiss mada kaielewa na kaipenda ngoja aweke simu chaj sasa
Aje na maneno yake ya shombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ilikua sukuma wiki siku ziende. Ila shuni na lee empire ilikua kiboko
@shunie auntie yangu ukuje ujibu mashtaka huku. Hivi lee ulimpeleka wapi?
Tulitoa hadi pole eti kajifungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humu yapo ya ukweli na ya kusukuma wiki, sasa kwakuwa zote zinafanana unashindwa kujua ya kweli na ya uongo. Ya Shunie pia nilijua ni ya ukweli. Siku ananiambia ni ya jf tu nikabaki nimeduwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wwalituweza sana Transcend alitukana kabisa
Sakayo anakusalimia auntie
Ah ah ah Dawa za mshana nw day hazifany kaziTukimkumbuka si tunamfuata, akitukataa tunamloga. Uziri shem wetu mshana jr yupo hatuna shida.
Hata mimi nimeshindwa kuwaelewa kwakweli, atajihisi hana nguvu kumbe ni pesa hakuna. Pesa kitu ingine, waitafute tu.Nashangaa
Kukiwa na kapesa hata mwili unajitengenezea genye wenyewe.
Aende zake huko....akatafute pesa.
Mwanaume kutafuta, mwanamke kutumia
Hawa wa wapiiiiiii.......
Mapenzi n pesa ni pande mbili za sarafu moja zinazotegemeana.
Dah hili jibu kiboko,salute kwako MkuuAchama nayo, fanya vitu vingine
Wabahili hao nawajuaa sanaaaSummary mdogo wangu ni huyu Da'Vinci na Ambiele Kiviele wanataka mademu wakati wabahiri.
Afu sie tunataka mume wa mmoja na mwenza espy maana tumetoka mbali sana
Mi sifai tena......Hahahaaa!! Ambiele hafai hata kwa kurumangia.
Hata mi naona kwalweli, waache kukusingizia.Ah ah ah ah ah sijawai mtongoza mwanamke yeyote jf jaman
Mnanisingizia tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]dada umenichekesha sanaAchana nae huyo anatanga tanga tu n kudandia wake za watu. Ambiele ukikikuta usoni usimtafute mchawi.