To you my love

To you my love

Hahaa ilikua sukuma wiki siku ziende. Ila shuni na lee empire ilikua kiboko
@shunie auntie yangu ukuje ujibu mashtaka huku. Hivi lee ulimpeleka wapi?
Tulitoa hadi pole eti kajifungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humu yapo ya ukweli na ya kusukuma wiki, sasa kwakuwa zote zinafanana unashindwa kujua ya kweli na ya uongo. Ya Shunie pia nilijua ni ya ukweli. Siku ananiambia ni ya jf tu nikabaki nimeduwaa.
we sisahau ile siku April 01,2017

Shunie uje hapa utueleze yule mtoto anaendeleaje
Wwalituweza sana Transcend alitukana kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom