[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
ombi lako limekubaliwa babeImekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
Ukimaliza kucheka utanipa taarifa[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana nakupenda babeombi lako limekubaliwa babe
[emoji16] [emoji16] mshengaa hakawii kumpikuuu juu kw juuu mwambiee npo tayari kuw mshenga wakeeImekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
Hivi babe me s nilijieexpress kama hivi?? Kwa nn kwako watu wamekushikia bango hivi? Smh!!always babelove
Ooh babe jibu la mjinga ni kumkalia kimyawengine ni muhimu kuwapa darasa kidogo honey
Vinanichosha na kunichekesha kwa pamoja mpenzi wanguacha waseme kwanza tuone
babe ni shida wallah lakini tuzoee tu hatuna namnahili nalo litapita
Si unajua hivi sjazoea beb, kiasi flan vinanikera nafsi yangu lakini haya yataisha honey, maadam tunapendana hhilo ndio kubwathat's is my madame
kwenye wengi kuna mengi acha waseme wakichoka watalala, mazingira yanataka tuwe hivi babe, hilo halikwepeki jitahidi kuzoea tho havizoeleki...Si unajua hivi sjazoea beb, kiasi flan vinanikera nafsi yangu lakini haya yataisha honey, maadam tunapendana hhilo ndio kubwa
Unanitafta? Kule umesema uniongezee mwengine mwanamke mwenzangu ndio unatafta?babe kwema lakini??
Aya baby wangu sina namnakwenye wengi kuna mengi acha waseme wakichoka watalala, mazingira yanataka tuwe hivi babe, hilo halikwepeki jitahidi kuzoea tho havizoeleki...