To you my love

To you my love

Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
ombi lako limekubaliwa babe
 
[emoji16] [emoji16] mshengaa hakawii kumpikuuu juu kw juuu mwambiee npo tayari kuw mshenga wakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unajua hivi sjazoea beb, kiasi flan vinanikera nafsi yangu lakini haya yataisha honey, maadam tunapendana hhilo ndio kubwa
kwenye wengi kuna mengi acha waseme wakichoka watalala, mazingira yanataka tuwe hivi babe, hilo halikwepeki jitahidi kuzoea tho havizoeleki...
 
Back
Top Bottom