Aya bwana asante sana
Nakusubiri nyumbani shem ulete maharibado hujachelewa shemeji, asante kwa kuja
Sitakihoney..
Wallah, ni kuwachukulia hivohivo siku zinakwendaHahaahaaa
Na wataishia kutamani tu, ila hawataweza kupata wa aina hii.
Acha tu wachukie, hakuna namna mwaya.
Watu wa hivi sijui huwa wanataka nini labda!
Acha tu wabaki watazamaji....hakuna namna
Sitakibabe please usifanye hivi basi
mesema sitakihoney
Subiria kaka ajenambie unataka nini mke wangu??
Ntakujulisha mie mwenyeweSiku ya kupokea mahali naomba unijulishe, nipate hata Balimi moja, maana zile za Uncle Magu zimeyeyuka.
Asante mnoo, nafrah kuona uwepo wako, ila balimi no.Pamoja sana.
Am happy for you.