the ostrich eggs
JF-Expert Member
- Sep 14, 2026
- 299
- 184
Kama ninyi ambao mna maslahi na kifo cha CHADEMA mmeshindwa kukiua sisi ambao tumejeruhiwa mioyo kwa mnayowatendea wanachama wake hizo mbinu tutazitoa where?.Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali?
Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA...
Lengo kikawe chama kikuu cha Brifucase
View attachment 3670890
Maana tunapambana wote Jikoni, Kwenye flemu, mtaaniKama ninyi ambao mna maslahi na kifo cha CHADEMA mmeshindwa kukiua sisi ambao tumejeruhiwa mioyo kwa mnayowatendea wanachama wake hizo mbinu tutazitoa where?.
Anyways,wafuteni uanachama wote ambao wanakataa MAVIZIANO yenu. Anzeni na Lissu na Heche. Mnafeli where?.Itaneni Lumumba tangazeni kwamba kuanzia Leo wakataa MAVIZIANO tunafuta uanachama wao wa CHADEMA halafu pangeni safu mnayoitaka ninyi.Mnafeli where?😀
Wagalatia 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Ndio siasa zenu nilikuwa nawakilisha chadema hapaKufa wewe