Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura ipo??Mie nishaamua SICHANGII HARUSI YOYOTE maana sina ata mpango wa kuolewa [emoji6]
It's true, ni changamoto kiukweliHasa ndugu zetu wakristo unapangiwa mpaka kima cha chini kuna mmoja simjui hanijui kapita tu ofisini kanipa kadi yake na usumbufu ukaanzia hapo kufuatiliana wengine usipochangia ndo mwanzo wa uadui.
Kumbe rafiki yangu umekuja kunisema huku sawa!Hello Wadau!!
Naenda Moja kwa Moja kwenye topic.
Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona ni pledges Tu zikiendelea.
Nimeamua nijikalie kimya Tu kama kashindwa kunipigia simu atajijua mwenyewe naona kanipunguzia mzigo maana michango ya Harusi ni mingi kuliko ada tunazolipia watoto Shule.
Mimi langu ni Hilo Tu, kwenye michango ya Harusi, ulikutana na Nini tujuze mdau..............
Tiririka.......
Any opinions kuhusu michango ya Harusi.
Uzi tayariiii!!!
Fanya lililo ndani ya uwezo wako. Stop allowing people to control your life. Kama unauwezo wa kwenda kanisani ama kwa shehe na kufungishwa ukiwa na nguo za kawaida so be it. Tatizo jamii inatuforce tuishi inavyotaka.Ndugu zangu mnatuvunja Moyo sisi tunaotaka msaada kutoka kwenu wana Jamii wenzetu. Mimi Binafsi ninatarajia kufunga ndoa hapo Mwezi wa tatu, na nina nia ya kuomba michango kwa ndugu na jamaa, kutokana na hali jinsi ilivyo kwa sasa suala la kusema naweza kulisimamia hili jambo lililo mbele yangu kwa nilichonacho mpaka Muda huu ni uwongo, hivyo nilikuwa nawaomba wazee kidogo mlegeze misimamo yenu, hali ngumu ndugu zangu, kama una uwezo wa kumsaidia mtu chochote we msaidie tu hata kama ni buku. Shukrani
NeverWewe mbona ulichangiwa?
Vijana wanaoa Leo kesho wapo single wana enjoy[emoji16][emoji16]Nasikia huku bongo vijana wamepunguza kuoa, kwahiyo hili tatizo linaenda kuisha usijali sana
Mimi nikitoa na hakikisha nimehudhuria na pesa yangu imeisha .Toeni kwa moyo mkunjufu jaman,ndoa hazidumu huku