Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Gidabuday alifariki mwaka huu Arusha,aligongwa na gari yeye akiwa kwa miguu. Haikuwa ajali ya kawaida?Ukimzidi filbert bayi atafanya mbinu hata akutengenezee ajali...yuko wapi francis john, gidabuday?