Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu, wazee wa nature.

Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.



Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.


Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.


Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".

Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
 
Mimi nitajie tu gharama za jumla kwa siku tatu ni kama tsh. Ngapi?
 
Waarabu wa Samia mmewakuta au walimsingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…