Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Je unataka ma
Wakuu, wazee wa nature.

Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.

View attachment 3057462View attachment 3057457

Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459

Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463

Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".

Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
Je unataka Masai Waendelee kubali waiharibu?
 
asante nasikia wengi wanapasifia sana itabidi nijichange na mie nitie timu jamani.
Evelyn Salt na Demi huku nitawapeleka kama mtanibless na threesummmmm
 
Je unataka ma
Je unataka Masai Waendelee kubali waiharibu?
Wamasai ilikuwa hakuna namna zaidi ya kuwaondoa Hilo eneo ili lisiendelee kuharibiwa uasili wake.

Sema labda ni ile namna ya kuondolewa kwao hakukuwa kwa kueleweshana kwa upanda wake.

Nipepita sana Hilo eneo kwakweli linataka kukaa katika asili yake na ni urithi mkubwa wa hazina ya hifadhi.

Napendekeza shughuri za kijamii zote zihamishiwe maeneo mengine kwakuwa yapo.
Hata wachimba vito na madini wasiyaguse maeneo ya hifadhi kwa sasa hadi hapo patakapo onekana hakuna namna nyingine.
Utajiri wa nchi zetu za pembezoni unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hifadhi zetu.
 
Huna akili wewe. We maasai tume co-exist na nature hapo for thousands of years na hakuna masai ana haribu nature including hunting wild animals for game or trophy. Trophy hunting ilikuwa culture ya zamani tu.

Sema tu mmeamua kuwauzia ndugu zenu waarabu hii nchi kumbafu.

Displacement is not okay. Kama mnavyoona palestine anaonewa kuwa dispalce na israel its the same feeling for MAA community
 
Bila kifika Kitaa cha Mtaa wa vita ratiba haijakamilika Mkuu...
 
Back
Top Bottom