Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Huna akili wewe. We maasai tume co-exist na nature hapo for thousands of years na hakuna masai ana haribu nature including hunting wild animals for game or trophy. Trophy hunting ilikuwa culture ya zamani tu.

Sema tu mmeamua kuwauzia ndugu zenu waarabu hii nchi kumbafu.

Displacement is not okay. Kama mnavyoona palestine anaonewa kuwa dispalce na israel its the same feeling for MAA community
Ni nyakati za zamani.
Kwasasa Ngorongoro inaingiliwa na watu wa Kabila nyingi kufanya shughuri za Kibinadamu kwani ina rutuba na malisho mazuri
Zamani Wamasai walitosha ndio maana walikuwepo.
Kwa sasa makabila mengi ya wafugaji wanavamia hifadhi ya Ngorongoro tena wengine ni majirani wa nchi jirani.
Uamuzi haikuwa wa kuwaondoa Wamasai pekee bali jamii zote zilizokowa zinafanya kazi za kibinadamu katika Hilo eneo.
Kama kuna eneo lingine la kutosha Kuna dhambi gani ya kuwaondoa Wamasai katika Hilo eneo?
Mbona wakati wa kuanzisha vijiji vya ujamaa watu waliondolewa katika maeneo yao na kupelekwa kwenye maeneo waliyopangiwa ?
Labda useme kama zoezi la kuwagamisha Wamasai na watu wengine lilikiuka haki za kibinadamu.
 
Unaongea tu. Wewe tukiwaindoa kule kwa mababu zako wanging'ombe tuwapeleke nachingaea ni sawa.? Maasai tumeishi hapo na ku co exist na nature for thousands of years.

Hatuli hata nyama pori kitu ambacho wengi hamjui
 
Unaongea tu. Wewe tukiwaindoa kule kwa mababu zako wanging'ombe tuwapeleke nachingaea ni sawa.? Maasai tumeishi hapo na ku co exist na nature for thousands of years.

Hatuli hata nyama pori kitu ambacho wengi hamjui
Tanga ni kati ya nchi nchi nzuri sana kwa ustawi wa jamii.
 
Kutalii ni muhimu kwa afya, inashauriwa angalau mara mbili kwa mwaka
 
IMG_20240802_113558_688.jpg


Haya tusiringishane nimetua na ndege yangu binafsi nipo ngorongoro crater nacheki tako la zebra hapa
 
Back
Top Bottom