Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Mbuga tunazo nyingi sana hata Tarangire ni mbuga isiyo na gharama kubwa kwa kwenda na kutoka siku hiyo hiyo...
IMG-20230417-WA0446.jpg
20231209_153835.jpg
20231209_130039.jpg
20231209_143822.jpg
IMG-20230417-WA0446.jpg
IMG-20230417-WA0443.jpg
 
Wakuu, wazee wa nature.

Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.

View attachment 3057462View attachment 3057457

Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459

Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463

Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".

Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
Umetuambia kitu kizuri na mimi nitatembelea
 
N

Ngorongoro wanaita shimoni Big five wote wapo hawatoki shimoni mkuu...
Wapo ndiyo. lla kuwaona ndiyo issue. Mnyama kama chui mchana anajificha sana. Mimi kama mtu shida yake ni ku enjoy kuona wanyama kwa ukaribu, nitamshauri aende zoo. .
 
Kutokana na uwingi wa magari wanyama wengi wanakua baadhi ya maeneo yao kwa hiyo siku hiyo muongoza watalii akimuona mnyama yeyote zipo ishara zao ambazo wanazitumia kuwa mnyama fulani yupo wapi hata wewe uliebebwa kwenye gari hautaelewa hakuna mnyama utashindwa kumuona shimoni labda uingine muda wa kuchelewa maana Wanyama wengi wanaonekana asubuhi na Jioni mchana wanakua mawindoni..
 
Umpeleke mgeni Ngarenaro darajani hapo Kilimanjaro bar. Bei elekezi bado ni Tsh 3000.
Kuna day natoka taoo midnight asee tulipata breakdown mitaa ya ngarna hapo 150. Tulivamiwa na kijiji ya vibaka kuna chaliangu Isaac alipoteza kidole pale ile night. Sìwataki machàlii wa ngàrna ni mawaki
 
Wapo ndiyo. lla kuwaona ndiyo issue. Mnyama kama chui mchana anajificha sana. Mimi kama mtu shida yake ni ku enjoy kuona wanyama kwa ukaribu, nitamshauri aende zoo. .
MKUU UKIONDOA TU CHUI, WANYAMA WENGINE WOTE KATIKA BIG FIVE UNA UHAKIKA WA KUWAONA PALE NGORONGORO. KWASABABU NGORONGORO NAKO NI KAMA ZOO TU WANYAMA HAWAONDOKI KULE CHINI NA WOTE UNAWAONA KWA UKARIBU TUU NA UNAENJOY VYA KUTOSHA TOFAUTI NA ZOO.

Next time apitie Rubanda gorofani via kwa Wanyacha mpaka huko Kichwa Tembo
 
Mkuu nikiwa na 500k itanitosha kufika huko??
Mkuu, gharama iyo kubwa sana lakini nashauri usiende peke ako muwe watu nane (8) maximum, kwaajili ya cost sharing.

Gharama kubwa ni mbili utakazo lipa. Kiingilio kwa kila mtu na Gharama za kukodi gari (tour guide).

Gari na tour guide wengi ni Tsh 450k kushuka chini kutegemea na season. Kwahiyo mkiwa 8 inamaana mnachanga kama 55k kila mmoja.

Na kiingilio cha mtu mmoja ni 12,000/= tu kwahyo mkiwa kikundi ni kama elfu 75 kila mtu mnafanya day trip. Watoto under 6 ni bure.

Kuingia na gari private (lazima liwe 4 x 4) ni elfu 23 ila sishauri maana ile njia ya kupanda ni slope kali sanaaaaaa ingawa ni pavement ila too risk. Maana ukipata ajari unalipa laki 2 plus.

Pia vema ukabeba vyakula, na maji kwaajili ya milo angalau mitatu hadi miwili, kwa maana mtakaa masaa sita hadi nane kutokana na guide wenu, ila saa 12 inatakiwa muwe mshatoka.
 
Kuna day natoka taoo midnight asee tulipata breakdown mitaa ya ngarna hapo 150. Tulivamiwa na kijiji ya vibaka kuna chaliangu Isaac alipoteza kidole pale ile night. Sìwataki machàlii wa ngàrna ni mawaki
Aisee poleni sana. Hiyo mitaa huwa napita tu. Mara chache nilikuwa naenda kambi ya fisi kwa binamu yangu.
 
Mkuu, gharama iyo kubwa sana lakini nashauri usiende peke ako muwe watu nane (8) maximum, kwaajili ya cost sharing.

Gharama kubwa ni mbili utakazo lipa. Kiingilio kwa kila mtu na Gharama za kukodi gari (tour guide).

Gari na tour guide wengi ni Tsh 450k kushuka chini kutegemea na season. Kwahiyo mkiwa 8 inamaana mnachanga kama 55k kila mmoja.

Na kiingilio cha mtu mmoja ni 12,000/= tu kwahyo mkiwa kikundi ni kama elfu 75 kila mtu mnafanya day trip. Watoto under 6 ni bure.

Kuingia na gari private (lazima liwe 4 x 4) ni elfu 23 ila sishauri maana ile njia ya kupanda ni slope kali sanaaaaaa ingawa ni pavement ila too risk. Maana ukipata ajari unalipa laki 2 plus.

Pia vema ukabeba vyakula, na maji kwaajili ya milo angalau mitatu hadi miwili, kwa maana mtakaa masaa sita hadi nane kutokana na guide wenu, ila saa 12 inatakiwa muwe mshatoka.
Umechomoa big 5? Au ulikuwa unashangaa tu
 
Back
Top Bottom