Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Upige picha za kutosha kwenye hii point
fbfb16f4-efc1-4b12-b098-ff08a9f1d84b.jpeg
 
Wakuu, wazee wa nature.

Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.

View attachment 3057462View attachment 3057457

Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459

Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463

Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".

Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
Hongera sana
 
Umewaona wamasai wakichungamifugo yao na pembeni wako wanyama pori.Bila hivyo tour yako ina mapungufu
 
Afadhali huko, jana nmeenda mikumi wanyama tumewatafuta kwa tochi, tumeishia kuona tembo, kiboko na pundamilia tena hawafiki hata kumi
 
Attachments

  • 20240730_135248.jpg
    20240730_135248.jpg
    1.5 MB · Views: 3
  • 20240730_113546.jpg
    20240730_113546.jpg
    3.4 MB · Views: 4
  • 20240730_113546.jpg
    20240730_113546.jpg
    3.4 MB · Views: 4
  • 20240730_135248.jpg
    20240730_135248.jpg
    1.5 MB · Views: 4
Wamasai ilikuwa hakuna namna zaidi ya kuwaondoa Hilo eneo ili lisiendelee kuharibiwa uasili wake.

Sema labda ni ile namna ya kuondolewa kwao hakukuwa kwa kueleweshana kwa upanda wake.

Nipepita sana Hilo eneo kwakweli linataka kukaa katika asili yake na ni urithi mkubwa wa hazina ya hifadhi.

Napendekeza shughuri za kijamii zote zihamishiwe maeneo mengine kwakuwa yapo.
Hata wachimba vito na madini wasiyaguse maeneo ya hifadhi kwa sasa hadi hapo patakapo onekana hakuna namna nyingine.
Utajiri wa nchi zetu za pembezoni unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hifadhi zetu.
Masai illiterate (ambao hawajasoma formal education)ni wagumu Sana KUELEWA na hata kuwaelewesha jamboo (vichwa vyao ni vigumu Kama jiwe)

Masai walio enda shule na waka bahatika kupata formal education wanakuaga na AKILI Sanaa
 
Wakuu, wazee wa nature.

Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.

View attachment 3057462View attachment 3057457

Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
View attachment 3057459

Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
View attachment 3057463

Pamoja na kwamba ni weekdays ila kuna raia wengi sana wa kigeni tukambiwa ni msimu wa "high season ".

Sio issue kubwa but ni experience nzuri.
Ni vile TU kukosa muda wa kutosha kwa wengi wetu na majukumu ya ki Maisha..

Bila kusahau financial constraints kwa waTZ walio wengi Ila Mara moja moja tuwe tuna jitoa OUTINGS 😊
 
Back
Top Bottom